
Tangazo kwa wanafunzi na watumishi wote wa life shining Theological seminary na life shining bible college na vituo vyote Vya mafunzo /pagst- graduate school of theology.
Napenda kuwatangazia kuwa mahafali yam waka huu yatafanyika wiki ya pili ya mwezi Desemba yaani tarehe 13/12/2024. Kabla ya hapo kutakuwepo na madarasa, semina na mikutano ya kitaaluma kuanzia tarehe 8/12/2024 Jumapili jioni. Wanafunzi wote kutoka mikoa yote wanatakiwa kufika bila kukosa.
Kila Mwanafunzi anatakiwa kuwa amalipa ada yake kwa uaminifu. Wahitimu wote wahakikishe wamelipa madeni yao ya karo kabla ya tarehe 15/11/2024 kwa kuweka katika akaunti ya chuo NMB 22810043931 kupita benki au NMB Wakala na utunze risiti yako na kuwasilisha kopi yake ufikapo chuoni. Wahitimu watakaochelewa kulipia karo ghrama za mahafali hadi tarehe 20/11/2024 hawatawezakuhitimu mwaka huu wa masomo 2024.
Kuhusu wageni: Wahitimu tu ndio watakaoruhusiwa kukaribisha wageni wasiozid wawili siku ya mahafali wageni wote watakaoongezeka watalipiwa, na kuponi za vchakula zitatolewa siku ya tarehe 12/12/2024 mwisho wa kugawa kuponi ni saa 12 jioni. Gharama ya kuponi moja itakuwa shilingi 10,000/- Kila Mratibu aje na taarifa ya Mwaka huu 2023/2024.
Mwisho tuendelee na kukiombea chuo na kumwombea Mwasisi wa chuo Mch. Daniel. K.S. Cho na mkewe Joy Park wawe na afya njema na kurudi hapa salama.